1 Bwana anatawala, nchi na ifurahi,
2 Mawingu na giza nene vinamzunguka,
3 Moto hutangulia mbele zake
4 Umeme wake wa radi humulika dunia,
5 Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana,
6 Mbingu zinatangaza haki yake,
7 Wote waabuduo sanamu waaibishwa,
8 Sayuni husikia na kushangilia,
9 Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote;
10 Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu,
11 Nuru huangaza wenye haki
12 Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki,