Salmos 9

SWHONEN

1 Ee Bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote,

2 Nitafurahi na kushangilia ndani yako.

3 Adui zangu wamerudi nyuma,

4 Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu;

5 Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu;

6 Uharibifu usiokoma umempata adui,

7 Bwana anatawala milele,

8 Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki,

9 Bwana ni kimbilio la watu wanaoonewa,

10 Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe,

11 Mwimbieni Bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni,

12 Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka,

13 Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa!

14 ili niweze kutangaza sifa zako

15 Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba,

16 Bwana anajulikana kwa haki yake,

17 Waovu wataishia kuzimu,

18 Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote,

19 Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde.

20 Ee Bwana, wapige kwa hofu,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado