Salmos 88

SWHONEN

1 Ee Bwana, Mungu uniokoaye,

2 Maombi yangu yafike mbele zako,

3 Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu,

4 Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni,

5 Nimetengwa pamoja na wafu,

6 Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana,

7 Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu,

8 Umenitenga na rafiki zangu wa karibu

9 nuru ya macho yangu

10 Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako?

11 Je, upendo wako hutangazwa kaburini,

12 Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza,

13 Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie;

14 Ee Bwana, kwa nini unanikataa

15 Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo;

16 Ghadhabu yako imepita juu yangu;

17 Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko;

18 Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu;

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado