Salmos 87

SWHONEN

1 Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu;

2 Bwana anayapenda malango ya Sayuni

3 Mambo matukufu yanasemwa juu yako,

4 “Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu na Babeli

5 Kuhusu Sayuni itasemwa hivi,

6 Bwana ataandika katika orodha ya mataifa:

7 Watakapokuwa wanapiga vinanda wataimba,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado