Salmos 85

SWHONEN

1 Ee Bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako.

2 Ulisamehe uovu wa watu wako,

3 Uliweka kando ghadhabu yako yote

4 Ee Mungu Mwokozi wetu, uturejeshe tena,

5 Je, utatukasirikia milele?

6 Je, hutatuhuisha tena,

7 Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana,

8 Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Bwana;

9 Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao,

10 Upendo na uaminifu hukutana pamoja,

11 Uaminifu huchipua kutoka nchi,

12 Naam, hakika Bwana atatoa kilicho chema,

13 Haki itatangulia mbele yake

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado