1 Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu,
2 kwa maana kama majani watanyauka mara,
3 Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema;
4 Jifurahishe katika Bwana
5 Mkabidhi Bwana njia yako,
6 Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko,
7 Tulia mbele za Bwana
8 Epuka hasira na uache ghadhabu,
9 Kwa maana waovu watakatiliwa mbali,
10 Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana,
11 Bali wanyenyekevu watairithi nchi
12 Waovu hula njama dhidi ya wenye haki
13 bali Bwana huwacheka waovu,
14 Waovu huchomoa upanga
15 Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe,
16 Bora kidogo walicho nacho wenye haki
17 kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa,
18 Bwana anazifahamu siku za wanyofu,
19 Siku za maafa hawatanyauka,
20 Lakini waovu wataangamia:
21 Waovu hukopa na hawalipi,
22 Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi,
23 Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu,
24 ajapojikwaa, hataanguka,
25 Nilikuwa kijana na sasa ni mzee,
26 Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti.
27 Acha ubaya na utende wema,
28 Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki
29 Wenye haki watairithi nchi,
30 Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima,
31 Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake;
32 Watu waovu huvizia wenye haki,
33 lakini Bwana hatawaacha mikononi mwao
34 Mngojee Bwana,
35 Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi
36 lakini alitoweka mara na hakuonekana,
37 Watafakari watu wasio na hatia,
38 Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa,
39 Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana,
40 Bwana huwasaidia na kuwaokoa,