1 Sikia, Ee Bwana, kusihi kwangu kwa haki,
2 Hukumu yangu na itoke kwako,
3 Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku,
4 Kuhusu matendo ya wanadamu:
5 Hatua zangu zimeshikamana na njia zako;
6 Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu,
7 Uonyeshe ajabu ya upendo wako mkuu,
8 Nilinde kama mboni ya jicho lako,
9 kutokana na waovu wanaonishambulia,
10 Huifunga mioyo yao iliyo migumu,
11 Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira,
12 Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye,
13 Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe,
14 Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii,
15 Na mimi katika haki nitauona uso wako,