1 Ee Mungu, uniweke salama,
2 Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu;
3 Kwa habari ya watakatifu walioko duniani,
4 Huzuni itaongezeka kwa wale
5 Bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu;
6 Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri,
7 Nitamsifu Bwana ambaye hunishauri,
8 Nimemweka Bwana mbele yangu daima.
9 Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia;
10 kwa maana hutaniacha kaburini,
11 Umenijulisha njia ya uzima;