Salmos 148

SWHONEN

1 Msifuni Bwana.

2 Msifuni, enyi malaika wake wote,

3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi,

4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana,

5 Vilisifu jina la Bwana

6 Aliviweka mahali pake milele na milele,

7 Mtukuzeni Bwana kutoka duniani,

8 umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu,

9 ninyi milima na vilima vyote,

10 wanyama wa mwituni na mifugo yote,

11 wafalme wa dunia na mataifa yote,

12 wanaume vijana na wanawali,

13 Wote na walisifu jina la Bwana,

14 Amewainulia watu wake pembe,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado