1 Nitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme,
2 Kila siku nitakusifu
3 Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana,
4 Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine,
5 Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako,
6 Watasimulia uwezo wa kazi zako za kutisha,
7 Wataadhimisha wema wako mwingi,
8 Bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma,
9 Bwana ni mwema kwa wote,
10 Ee Bwana, vyote ulivyovifanya vitakusifu,
11 Watasimulia utukufu wa ufalme wako
12 ili watu wote wajue matendo yako makuu
13 Ufalme wako ni ufalme wa milele,
14 Bwana huwategemeza wote waangukao,
15 Macho yao wote yanakutazama wewe,
16 Waufumbua mkono wako,
17 Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
18 Bwana yu karibu na wote wamwitao,
19 Huwatimizia wamchao matakwa yao,
20 Bwana huwalinda wote wampendao,
21 Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana.