1 Msifuni Bwana.
2 Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Bwana
3 Heri wale wanaodumisha haki,
4 Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako,
5 ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako,
6 Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda,
7 Wakati baba zetu walipokuwa Misri,
8 Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake,
9 Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka,
10 Aliwaokoa mikononi mwa adui;
11 Maji yaliwafunika adui zao,
12 Ndipo walipoamini ahadi zake,
13 Lakini mara walisahau aliyowatendea,
14 Jangwani walitawaliwa na tamaa zao,
15 Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba,
16 Kambini walimwonea wivu Mose,
17 Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani,
18 Moto uliwaka katikati ya wafuasi wao,
19 Huko Horebu walitengeneza ndama,
20 Waliubadilisha Utukufu wao
21 Walimsahau Mungu aliyewaokoa,
22 miujiza katika nchi ya Hamu
23 Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza:
24 Kisha waliidharau ile nchi nzuri,
25 Walinungʼunika ndani ya mahema yao,
26 Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa
27 kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa,
28 Walijifunga nira na Baali wa Peori,
29 Waliichochea hasira ya Bwana,
30 Lakini Finehasi alisimama na kuingilia kati,
31 Hili likahesabiwa kwake haki,
32 Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Bwana,
33 kwa maana walimwasi Roho wa Mungu,
34 Hawakuyaangamiza yale mataifa
35 bali walijichanganya na mataifa
36 Waliabudu sanamu zao,
37 Wakawatoa wana wao
38 Walimwaga damu isiyo na hatia,
39 Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda;
40 Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake
41 Akawakabidhi kwa mataifa
42 Adui zao wakawaonea
43 Mara nyingi aliwaokoa
44 Lakini akaangalia mateso yao
45 kwa ajili yao akakumbuka agano lake,
46 Akawafanya wahurumiwe
47 Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe.
48 Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli,