Salmos 102

SWHONEN

1 Ee Bwana, usikie maombi yangu,

2 Usinifiche uso wako

3 Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi,

4 Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani,

5 Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu,

6 Nimekuwa kama bundi wa jangwani,

7 Nilalapo sipati usingizi,

8 Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki,

9 Ninakula majivu kama chakula changu

10 kwa sababu ya ghadhabu yako kuu,

11 Siku zangu ni kama kivuli cha jioni,

12 Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele,

13 Utainuka na kuihurumia Sayuni,

14 Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako,

15 Mataifa wataogopa jina la Bwana,

16 Kwa maana Bwana ataijenga tena Sayuni

17 Ataitikia maombi ya mtu mkiwa,

18 Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho,

19 “Bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu,

20 kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa

21 Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni

22 wakati mataifa na falme zitakapokusanyika

23 Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu,

24 Ndipo niliposema:

25 Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia,

26 Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu,

27 Lakini wewe, U yeye yule,

28 Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako;

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado