1 Mwanangu, usisahau mafundisho yangu,
2 kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako
3 Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe;
4 Ndipo utapata kibali na jina zuri
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote
6 katika njia zako zote mkiri yeye,
7 Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe;
8 Hii itakuletea afya mwilini mwako,
9 Mheshimu Bwana kwa mali zako na
10 ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika,
11 Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana
12 kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
13 Heri mtu yule aonaye hekima,
14 kwa maana hekima ana faida kuliko fedha
15 Hekima ana thamani kuliko marijani;
16 Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume;
17 Njia zake zinapendeza,
18 Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomkumbatia;
19 Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia,
20 kwa maarifa yake vilindi viligawanywa,
21 Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara,
22 ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako
23 Kisha utaenda katika njia yako salama,
24 ulalapo, hautaogopa;
25 Usiogope maafa ya ghafula
26 kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako
27 Usizuie wema kwa wale wanaostahili
28 Usimwambie jirani yako,
29 Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako,
30 Usimshtaki mtu bila sababu,
31 Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri
32 kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu,
33 Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu,
34 Huwadhihaki wale wanaodhihaki,
35 Wenye hekima hurithi heshima,