Provérbios 29

SWHONEN

1 Mtu anayeendelea kuwa na shingo ngumu baada ya maonyo mengi,

2 Wenye haki wanapostawi, watu hufurahi;

3 Mtu apendaye hekima huleta furaha kwa baba yake,

4 Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti,

5 Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili,

6 Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe

7 Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini,

8 Wenye mzaha huuchochea mji,

9 Kama mwenye hekima akienda mahakamani na mpumbavu,

10 Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu

11 Mpumbavu huonyesha hasira yake yote,

12 Kama mtawala akisikiliza uongo,

13 Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili:

14 Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki,

15 Fimbo ya maonyo hutia hekima,

16 Wakati waovu wanapostawi,

17 Mrudi mwanao, naye atakupa amani,

18 Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia,

19 Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu,

20 Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka?

21 Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani,

22 Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi,

23 Kiburi cha mtu humshusha,

24 Anayekubaliana na mwizi ni adui wa nafsi yake mwenyewe;

25 Kuwaogopa watu huwa ni mtego,

26 Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala,

27 Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu;

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado