1 Kama theluji wakati wa kiangazi au mvua wakati wa mavuno,
2 Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake
3 Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda,
4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake,
5 Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake,
6 Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara,
7 Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia
8 Kama kufunga jiwe kwenye kombeo,
9 Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi
10 Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo,
11 Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake,
12 Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima
13 Mvivu husema, “Yuko simba barabarani,
14 Kama vile mlango ugeukavyo kwenye bawaba zake,
15 Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani,
16 Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe,
17 Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio,
18 Kama mtu mwendawazimu
19 ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema,
20 Bila kuni moto huzimika;
21 Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto,
22 Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu;
23 Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo
24 Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake,
25 Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini,
26 Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu,
27 Kama mtu akichimba shimo, atatumbukia ndani yake,
28 Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza,