1 Hizi ni mithali zaidi za Solomoni, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda:
2 Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo,
3 Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini,
4 Ondoa takataka kwenye madini ya fedha,
5 Ondoa waovu mbele ya mfalme,
6 Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme,
7 ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,”
8 usiharakishe kukipeleka mahakamani,
9 Kama ukifanya shauri na jirani yako,
10 ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha
11 Neno lisemwalo kwa wakati ufaao
12 Kama vile kipuli cha dhahabu
13 Kama vile ubaridi wa theluji wakati wa mavuno
14 Kama vile mawingu na upepo pasipo mvua
15 Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa,
16 Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha,
17 Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache,
18 Kama vile rungu au upanga au mshale mkali
19 Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa,
20 Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi,
21 Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale;
22 Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake,
23 Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua,
24 Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba,
25 Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka
26 Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au
27 Si vyema kula asali nyingi sana,
28 Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka