1 Usiwaonee wivu watu waovu,
2 kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri,
3 Kwa hekima nyumba hujengwa,
4 kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa
5 Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa,
6 kwa kufanya vita unahitaji uongozi
7 Hekima i juu mno kwa mpumbavu,
8 Yeye apangaye mabaya
9 Mipango ya upumbavu ni dhambi,
10 Ukikata tamaa wakati wa taabu,
11 Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo;
12 Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,”
13 Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri;
14 Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako,
15 Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia
16 Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena,
17 Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo;
18 Bwana asije akaona na kuchukia
19 Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya
20 kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo,
21 Mwanangu, mche Bwana na mfalme,
22 kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao,
23 Hii pia ni misemo ya wenye hekima:
24 Yeyote amwambiaye mwenye hatia,
25 Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia,
26 Jawabu la uaminifu
27 Maliza kazi zako za nje,
28 Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu,
29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi;
30 Nilipita karibu na shamba la mvivu,
31 miiba ilikuwa imeota kila mahali,
32 Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona,
33 Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo,
34 hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi,