Provérbios 22

SWHONEN

1 Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi,

2 Tajiri na maskini wanafanana kwa hili:

3 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,

4 Unyenyekevu na kumcha Bwana

5 Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego,

6 Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea,

7 Matajiri huwatawala maskini

8 Yeye aupandaye uovu huvuna taabu,

9 Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa

10 Mfukuze mwenye dhihaka,

11 Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema,

12 Macho ya Bwana hulinda maarifa,

13 Mvivu husema, “Yuko simba nje!”

14 Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu;

15 Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto,

16 Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali,

17 Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima,

18 kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako

19 Ili tumaini lako liwe katika Bwana,

20 Je, sijakuandikia misemo thelathini,

21 kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika,

22 Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini,

23 kwa sababu Bwana atalichukua shauri lao

24 Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka,

25 la sivyo utajifunza njia zake

26 Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani,

27 Kama ukikosa njia ya kulipa,

28 Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani

29 Je, unamwona mtu stadi katika kazi yake?

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado