1 Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Bwana;
2 Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake,
3 Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika
4 Macho ya kudharau na moyo wa kiburi,
5 Mipango ya mwenye bidii huelekeza kwenye faida,
6 Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo
7 Jeuri ya waovu itawaburuta mbali,
8 Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu,
9 Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba,
10 Mtu mwovu hutamani sana ubaya,
11 Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa,
12 Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu,
13 Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini,
14 Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira
15 Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki,
16 Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu,
17 Mtu apendaye anasa atakuwa maskini,
18 Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki,
19 Ni afadhali kuishi jangwani
20 Katika nyumba ya mwenye hekima
21 Yeye afuatiaye haki na upendo
22 Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu,
23 Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake
24 Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake;
25 Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake,
26 Mchana kutwa hutamani zaidi,
27 Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo,
28 Shahidi wa uongo ataangamia,
29 Mtu mwovu ana uso wa ushupavu,
30 Hakuna hekima, wala akili, wala mpango
31 Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita,