1 Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama,
2 Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa,
3 Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake
4 Mali huleta marafiki wengi,
5 Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa,
6 Wengi hujipendekeza kwa mtawala
7 Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote:
8 Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe,
9 Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa,
10 Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa,
11 Hekima ya mtu humpa uvumilivu,
12 Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba,
13 Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye,
14 Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi,
15 Uvivu huleta usingizi mzito,
16 Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake,
17 Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana,
18 Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini,
19 Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake,
20 Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho,
21 Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu,
22 Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho,
23 Kumcha Bwana huongoza kwenye uzima,
24 Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani,
25 Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara,
26 Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake
27 Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho,
28 Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu
29 Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka