Provérbios 16

SWHONEN

1 Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu,

2 Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe,

3 Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo,

4 Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe;

5 Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo.

6 Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa;

7 Njia za mtu zinapompendeza Bwana,

8 Afadhali kitu kidogo pamoja na haki

9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake,

10 Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu,

11 Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana;

12 Wafalme huchukia sana kutenda maovu,

13 Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu;

14 Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti,

15 Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai;

16 Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu,

17 Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya;

18 Kiburi hutangulia maangamizi,

19 Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho

20 Yeyote anayekubali mafundisho hustawi,

21 Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu,

22 Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao,

23 Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake,

24 Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali,

25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu,

26 Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi;

27 Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya,

28 Mtu mpotovu huchochea ugomvi,

29 Mtu mkali humvuta jirani yake

30 Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu;

31 Mvi ni taji ya utukufu;

32 Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa,

33 Kura hupigwa kwa siri,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado