Provérbios 13

SWHONEN

1 Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye,

2 Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema,

3 Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake,

4 Mvivu hutamani sana na hapati kitu,

5 Mwenye haki huchukia uongo,

6 Haki humlinda mtu mwadilifu,

7 Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote;

8 Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake,

9 Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana,

10 Kiburi huzalisha magomvi tu,

11 Fedha isiyo ya halali hupungua,

12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua,

13 Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi,

14 Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima,

15 Ufahamu mzuri hupata upendeleo,

16 Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa,

17 Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu,

18 Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu,

19 Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi,

20 Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima,

21 Balaa humwandama mtenda dhambi,

22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi,

23 Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi,

24 Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe,

25 Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado