Naum 1

SWHONEN

1 Neno alilosema Mungu kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono cha Nahumu, Mwelkoshi.

2 Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi;

3 Bwana si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu,

4 Anakemea bahari na kuikausha,

5 Milima hutikisika mbele yake

6 Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu?

7 Bwana ni Mwema,

8 lakini kwa mafuriko makubwa,

9 Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya Bwana

10 Watasongwa katikati ya miiba

11 Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja,

12 Hili ndilo asemalo Bwana:

13 Sasa nitavunja nira zao kutoka shingo yako,

14 Hii ndiyo amri Bwana aliyoitoa kukuhusu wewe, Ninawi:

15 Tazama, huko juu milimani,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado