1 Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji
2 Laiti ningekuwa na nyumba
3 “Huweka tayari ndimi zao kama upinde,
4 “Jihadhari na rafiki zako;
5 Rafiki humdanganya rafiki,
6 Unakaa katikati ya udanganyifu;
7 Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote:
8 Ndimi zao ni mshale wenye sumu,
9 Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?”
10 Nitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima
11 “Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu,
12 Ni mtu yupi aliye na hekima ya kutosha ayaelewe haya? Ni nani aliyefundishwa na Bwana awezaye kuyaeleza haya? Kwa nini nchi imeharibiwa na kufanywa ukiwa kama jangwa ambapo hakuna awezaye kupita?
13 Bwana akasema, “Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu, niliyoiweka mbele yao: hawajaniheshimu mimi wala kufuata sheria yangu.
14 Badala yake wamefuata ukaidi wa mioyo yao, wamefuata Mabaali, kama vile baba zao walivyowafundisha.”
15 Kwa hiyo, hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: “Tazama, nitawafanya watu hawa wale chakula kichungu na kunywa maji yenye sumu.
16 Nitawatawanya katika mataifa ambayo wao wala baba zao hawakuwajua, nikiwafuata kwa upanga mpaka niwe nimewaangamiza kabisa.”
17 Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote:
18 Nao waje upesi
19 Sauti ya kuomboleza imesikika kutoka Sayuni:
20 Basi, enyi wanawake, sikieni neno la Bwana;
21 Mauti imeingia ndani kupitia madirishani,
22 Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana:
23 Hili ndilo asemalo Bwana:
24 lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hili:
25 “Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema Bwana,
26 yaani Misri, Yuda, Edomu, Amoni, Moabu na wote wanaoishi jangwani sehemu za mbali. Kwa maana mataifa haya yote hayakutahiriwa mioyo yao, nayo nyumba yote ya Israeli haikutahiriwa.”