1 “ ‘Wakati huo, asema Bwana, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao.
2 Itawekwa wazi kwa jua, na mwezi, na nyota zote za mbingu, ambazo walizipenda na kuzitumikia, na ambazo wamezifuata kutafuta ushauri na kuziabudu. Hawatakusanywa pamoja au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyotapakaa juu ya ardhi.
3 Popote nitakapowafukuzia, mabaki wote wa kizazi hiki kiovu watatamani kufa kuliko kuishi, asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.’
4 “Waambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana:
5 Kwa nini basi watu hawa walipotea?
6 Nimewasikiliza kwa makini,
7 Hata korongo aliyeko angani
8 “ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara
9 Wenye hekima wataaibika,
10 Kwa hiyo nitawapa watu wengine wake zao,
11 Wanafunga majeraha ya watu wangu
12 Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno?
13 “ ‘Nitayaondoa mavuno yao,
14 “Kwa nini tunaketi hapa?
15 Tulitegemea amani,
16 Mkoromo wa farasi za adui
17 “Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu,
18 Ee Mfariji wangu katika huzuni,
19 Sikia kilio cha watu wangu
20 “Mavuno yamepita,
21 Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia;
22 Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi?