1 Sikieni lile ambalo Bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli.
2 Hili ndilo asemalo Bwana:
3 Kwa maana desturi za mataifa hazina maana,
4 Wanaparemba kwa fedha na dhahabu,
5 Sanamu zao ni kama sanamu
6 Hakuna aliye kama wewe, Ee Bwana;
7 Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe,
8 Wote hawana akili, tena ni wapumbavu,
9 Huleta fedha iliyofuliwa kutoka Tarshishi
10 Lakini Bwana ni Mungu wa kweli,
11 “Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka dunia na kutoka chini ya mbingu.’ ”
12 Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake,
13 Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma;
14 Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa,
15 Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha tu,
16 Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo,
17 Kusanyeni mali na vitu vyenu mwondoke nchi hii,
18 Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:
19 Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu!
20 Hema langu limeangamizwa;
21 Wachungaji hawana akili
22 Sikilizeni! Taarifa inakuja:
23 Ninajua, Ee Bwana, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe;
24 Unirudi, Ee Bwana, lakini kwa kipimo cha haki:
25 Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa