1 Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu,
2 kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa,
3 na kuwapa mahitaji
4 Watajenga upya magofu ya zamani
5 Wageni watayachunga makundi yenu,
6 Nanyi mtaitwa makuhani wa Bwana,
7 Badala ya aibu yao
8 “Kwa maana Mimi, Bwana, napenda haki,
9 Wazao wao watajulikana miongoni mwa mataifa,
10 Ninafurahia sana katika Bwana,
11 Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota,