1 Hakika mkono wa Bwana si mfupi hata usiweze kuokoa,
2 Lakini maovu yenu yamewatenga
3 Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu
4 Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki;
5 Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali
6 Utando wao wa buibui haufai kwa nguo;
7 Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi,
8 Hawajui njia ya amani,
9 Hivyo uadilifu uko mbali nasi,
10 Tunapapasa ukuta kama kipofu,
11 Wote tunanguruma kama dubu;
12 Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako,
13 Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana,
14 Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma,
15 Kweli haipatikani popote,
16 Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja,
17 Alivaa haki kama dirii kifuani mwake,
18 Kulingana na kile walichokuwa wametenda,
19 Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana
20 “Mkombozi atakuja Sayuni,
21 “Kwa habari yangu mimi, hili ndilo agano langu nao,” asema Bwana. “Roho wangu, aliye juu yenu, na maneno yangu ambayo nimeyaweka katika vinywa vyenu, havitaondoka vinywani mwenu, wala kutoka vinywani mwa watoto wenu, wala kutoka vinywani mwa wazao wao, kuanzia sasa na hata milele,” asema Bwana.