1 Amka, amka, ee Sayuni,
2 Jikungʼute mavumbi yako,
3 Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:
4 Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi:
5 “Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana.
6 Kwa hiyo watu wangu watalijua Jina langu;
7 Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema
8 Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao,
9 Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja,
10 Mkono mtakatifu wa Bwana umefunuliwa
11 Ondokeni, ondokeni, tokeni huko!
12 Lakini hamtaondoka kwa haraka,
13 Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima;
14 Kama walivyokuwa wengi
15 hivyo atayashangaza mataifa mengi,