1 Hili ndilo asemalo Bwana:
2 Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja?
3 Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia
4 Bwana Mwenyezi amenipa ulimi uliofundishwa,
5 Bwana Mwenyezi amezibua masikio yangu,
6 Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao,
7 Kwa sababu Bwana Mwenyezi ananisaidia,
8 Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu.
9 Ni Bwana Mwenyezi anisaidiaye mimi.
10 Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana,
11 Lakini sasa, ninyi nyote mnaowasha mioto,