Isaías 34

SWHONEN

1 Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize;

2 Bwana ameyakasirikia mataifa yote;

3 Waliouawa watatupwa nje,

4 Nyota zote za mbinguni zitayeyuka

5 Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni,

6 Upanga wa Bwana umeoga katika damu,

7 Nyati wataanguka pamoja nao,

8 Kwa sababu Bwana anayo siku ya kulipiza kisasi,

9 Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami,

10 Haitazimishwa usiku wala mchana,

11 Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki,

12 Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote

13 Miiba itaenea katika ngome za ndani,

14 Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi,

15 Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai,

16 Angalieni katika gombo la Bwana na msome:

17 Huwagawia sehemu zao,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado