1 Ole wako wewe, ee mharabu,
2 Ee Bwana, uturehemu,
3 Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia;
4 Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu,
5 Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka,
6 Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu,
7 Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani,
8 Njia kuu zimeachwa,
9 Ardhi inaomboleza na kuchakaa,
10 “Sasa nitainuka,” asema Bwana.
11 Mlichukua mimba ya makapi,
12 Mataifa yatachomwa kama ichomwavyo chokaa,
13 Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya;
14 Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu,
15 Yeye aendaye kwa uadilifu
16 huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu,
17 Macho yenu yatamwona mfalme katika uzuri wake
18 Katika mawazo yenu mtaifikiria hofu iliyopita:
19 Hutawaona tena wale watu wenye kiburi,
20 Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu;
21 Huko Bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu.
22 Kwa kuwa Bwana ni mwamuzi wetu,
23 Kamba zenu za merikebu zimelegea:
24 Hakuna yeyote aishiye Sayuni atakayesema, “Mimi ni mgonjwa”;