1 Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu,
2 Tazama, Bwana anaye mmoja aliye na uwezo na nguvu.
3 Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu,
4 Lile ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake,
5 Katika siku ile, Bwana Mwenye Nguvu Zote
6 Atakuwa roho ya haki
7 Hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo,
8 Meza zote zimejawa na matapishi
9 “Yeye anajaribu kumfundisha nani?
10 Kwa maana ni:
11 Sawa kabisa, kwa midomo migeni
12 wale ambao aliwaambia,
13 Hivyo basi, neno la Bwana kwao litakuwa:
14 Kwa hiyo sikieni neno la Bwana, enyi watu wenye dharau
15 Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti,
16 Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo:
17 Nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia
18 Agano lenu na kifo litabatilishwa,
19 Kila mara lijapo litawachukua,
20 Kitanda ni kifupi mno kujinyoosha juu yake,
21 Bwana atainuka kama alivyofanya kwenye Mlima Perasimu,
22 Sasa acheni dharau zenu,
23 Sikilizeni msikie sauti yangu,
24 Wakati mkulima alimapo ili apande,
25 Akiisha kusawazisha shamba,
26 Mungu wake humwelekeza
27 Iliki haipurwi kwa nyundo,
28 Nafaka lazima isagwe ili kutengeneza mkate,
29 Haya yote pia hutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote,