1 Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda:
2 Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia,
3 Utamlinda katika amani kamilifu
4 Mtumaini Bwana milele,
5 Huwashusha wale wajikwezao,
6 Miguu huukanyaga chini,
7 Mapito ya wenye haki yamenyooka.
8 Naam, Bwana, tukienenda katika sheria zako,
9 Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku,
10 Ingawa neema yaonyeshwa kwa waovu,
11 Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu,
12 Bwana, unaamuru amani kwa ajili yetu,
13 Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametutawala,
14 Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai,
15 Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana,
16 Bwana, walikujia katika taabu yao,
17 Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa
18 Tulikuwa na mimba, tuligaagaa kwa maumivu,
19 Lakini wafu wenu wataishi,
20 Nendeni, watu wangu, ingieni vyumbani mwenu
21 Tazama, Bwana anakuja kutoka makao yake