1 Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa
2 ndivyo itakavyokuwa
3 Dunia itaharibiwa kabisa
4 Dunia inakauka na kunyauka,
5 Dunia imetiwa unajisi na watu wake;
6 Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia,
7 Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka,
8 Furaha ya matoazi imekoma,
9 Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo,
10 Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa,
11 Barabarani wanalilia kupata mvinyo,
12 Mji umeachwa katika uharibifu,
13 Ndivyo itakavyokuwa duniani
14 Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha,
15 Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni Bwana utukufu,
16 Kutoka miisho ya dunia tunasikia uimbaji:
17 Hofu, shimo na mtego vinakungojea,
18 Kila akimbiaye asikiapo sauti ya hofu
19 Dunia imepasuka,
20 Dunia inapepesuka kama mlevi,
21 Katika siku ile Bwana ataadhibu
22 Watakusanywa pamoja
23 Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa;