1 Ee Bwana, tegea sikio maneno yangu,
2 Sikiliza kilio changu ili unisaidie,
3 Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana;
4 Wewe si Mungu unayefurahia uovu,
5 Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako,
6 Unawaangamiza wasemao uongo.
7 Lakini mimi, kwa rehema zako kuu,
8 Niongoze katika haki yako, Ee Bwana,
9 Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika,
10 Uwatangaze kuwa wenye hatia, Ee Mungu!
11 Lakini wote wakimbiliao kwako na wafurahi,
12 Kwa hakika, Ee Bwana, unawabariki wenye haki,