Salmos 25

SWHONEN

1 Kwako wewe, Ee Bwana,

2 ni wewe ninayekutumainia,

3 Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea

4 Nionyeshe njia zako, Ee Bwana,

5 niongoze katika kweli yako na kunifundisha,

6 Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo,

7 Usizikumbuke dhambi za ujana wangu

8 Bwana ni mwema na mwenye adili,

9 Huwaongoza wanyenyekevu katika haki,

10 Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu

11 Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako,

12 Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana?

13 Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake,

14 Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao,

15 Macho yangu humwelekea Bwana daima,

16 Nigeukie na unihurumie,

17 Shida za moyo wangu zimeongezeka,

18 Uangalie mateso na shida zangu

19 Tazama adui zangu walivyo wengi,

20 Uyalinde maisha yangu na uniokoe,

21 Uadilifu na uaminifu vinilinde,

22 Ee Mungu, wakomboe Israeli,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado