Salmos 22

SWHONEN

1 Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

2 Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu,

3 Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu;

4 Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao,

5 Walikulilia wewe na ukawaokoa,

6 Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu,

7 Wote wanionao hunidhihaki,

8 Husema, “Anamtegemea Bwana,

9 Hata hivyo ulinitoa tumboni,

10 Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa,

11 Usiwe mbali nami,

12 Mafahali wengi wamenizunguka,

13 Simba wangurumao wanaorarua mawindo

14 Nimemiminwa kama maji,

15 Nguvu zangu zimekauka kama kigae,

16 Mbwa wamenizunguka,

17 Naweza kuhesabu mifupa yangu yote,

18 Wanagawana nguo zangu wao kwa wao,

19 Lakini wewe, Ee Bwana,

20 Okoa maisha yangu na upanga,

21 Niokoe kutoka kinywani mwa simba,

22 Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu,

23 Ninyi ambao mnamcha Bwana, msifuni!

24 Kwa maana hakupuuza wala kudharau

25 Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa,

26 Maskini watakula na kushiba,

27 Miisho yote ya dunia itakumbuka

28 kwa maana ufalme ni wa Bwana

29 Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu.

30 Wazao wa baadaye watamtumikia yeye;

31 Watatangaza haki yake kwa watu

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado