Salmos 109

SWHONEN

1 Ee Mungu, ambaye ninakusifu,

2 kwa maana watu waovu na wadanganyifu

3 Wamenizunguka kwa maneno ya chuki,

4 Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki,

5 Wananilipiza mabaya kwa mema,

6 Agiza mtu mwovu ampinge,

7 Anapohukumiwa, apatikane na hatia,

8 Siku zake za kuishi na ziwe chache,

9 Watoto wake na waachwe yatima,

10 Watoto wake na watangetange wakiomba,

11 Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo,

12 Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea mema

13 Uzao wake na ukatiliwe mbali,

14 Maovu ya baba zake na yakumbukwe

15 Dhambi zao na zibaki daima mbele za Bwana,

16 Kwa maana kamwe hakuweza kutenda wema,

17 Alipenda kulaani,

18 Alivaa kulaani kama vazi lake,

19 Na iwe kama joho alilozungushiwa,

20 Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu,

21 Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi,

22 Maana mimi ni maskini na mhitaji,

23 Ninafifia kama kivuli cha jioni,

24 Magoti yangu yamelegea kwa kufunga,

25 Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu,

26 Ee Bwana, Mungu wangu nisaidie,

27 Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako,

28 Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki,

29 Washtaki wangu watavikwa fedheha,

30 Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Bwana,

31 Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado