1 Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:
2 “Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Andika katika kitabu maneno yote niliyonena na wewe.
3 Siku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.”
4 Haya ndiyo maneno Bwana aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda:
5 “Hili ndilo asemalo Bwana:
6 Ulizeni na mkaone:
7 Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha!
8 “ ‘Katika siku ile,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote,
9 Badala yake, watamtumikia Bwana, Mungu wao
10 “ ‘Hivyo usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu,
11 Mimi niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,’
12 “Hili ndilo asemalo Bwana:
13 Hakuna yeyote wa kukutetea shauri lako,
14 Wale walioungana nawe wote wamekusahau,
15 Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako,
16 “ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa;
17 Lakini nitakurudishia afya yako
18 “Hili ndilo asemalo Bwana:
19 Nyimbo za kushukuru zitatoka kwao
20 Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa
21 Mmoja wao atakuwa kiongozi wao;
22 ‘Kwa hiyo ninyi mtakuwa watu wangu,
23 Tazama, tufani ya Bwana
24 Hasira kali ya Bwana haitarudi nyuma