Jeremias 2

SWHONEN

1 Neno la Bwana lilinijia kusema,

2 “Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu:

3 Israeli alikuwa mtakatifu kwa Bwana,

4 Sikia neno la Bwana, ee nyumba ya Yakobo,

5 Hivi ndivyo asemavyo Bwana:

6 Hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana,

7 Niliwaleta katika nchi yenye wingi wa vitu

8 Makuhani hawakuuliza,

9 “Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,”

10 Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu nawe uangalie,

11 Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote?

12 Shangaeni katika hili, ee mbingu,

13 “Watu wangu wametenda dhambi mbili:

14 Je, Israeli ni mtumishi, yaani mtumwa kwa kuzaliwa?

15 Simba wamenguruma;

16 Pia watu wa Memfisi na Tahpanhesi

17 Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe

18 Sasa kwa nini uende Misri

19 Uovu wako utakuadhibu;

20 “Zamani nilivunja nira yako

21 Nilikupanda ukiwa mzabibu ulio bora sana,

22 Hata ujisafishe kwa magadi

23 “Wawezaje kusema, ‘Mimi si najisi,

24 punda-mwitu aliyezoea jangwa,

25 Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu,

26 “Kama vile mwizi aaibikavyo wakati amekamatwa,

27 Wanaiambia miti, ‘Wewe ndiwe baba yangu,’

28 Iko wapi basi ile miungu mliyojitengenezea?

29 “Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu?

30 “Nimeadhibu watu wako bure tu,

31 “Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana:

32 Je, mwanamwali husahau vito vyake,

33 Je, wewe una ustadi kiasi gani katika kufuatia mapenzi!

34 Katika nguo zako watu huona

35 unasema, ‘Sina hatia;

36 Kwa nini unatangatanga sana,

37 Pia utaondoka mahali hapo

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado