Isaías 9

SWHONEN

1 Hata hivyo, hapatakuwepo huzuni tena kwa wale waliokuwa katika dhiki. Wakati uliopita aliidhili nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, lakini katika siku zijazo ataiheshimu Galilaya ya Mataifa, karibu na njia ya bahari, kando ya Yordani:

2 Watu wanaotembea katika giza

3 Umelikuza taifa,

4 Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani,

5 Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani,

6 Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,

7 Kuongezeka kwa utawala wake na amani

8 Bwana ametuma ujumbe dhidi ya Yakobo,

9 Watu wote watajua hili:

10 “Matofali yameanguka chini,

11 Lakini Bwana amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao

12 Waashuru kutoka upande wa mashariki

13 Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga,

14 Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia,

15 Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa,

16 Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha,

17 Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana,

18 Hakika uovu huwaka kama moto;

19 Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote

20 Upande wa kuume watakuwa wakitafuna,

21 Manase atamla Efraimu,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado