1 Wafarijini, wafarijini watu wangu,
2 Sema na Yerusalemu kwa upole,
3 Sauti ya mtu aliaye:
4 Kila bonde litainuliwa,
5 Utukufu wa Bwana utafunuliwa,
6 Sauti husema, “Piga kelele.”
7 Majani hunyauka na maua huanguka,
8 Majani hunyauka na maua huanguka,
9 Wewe uletaye habari njema Sayuni,
10 Tazameni, Bwana Mwenyezi anakuja na nguvu,
11 Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo:
12 Ni nani aliyepima maji ya bahari
13 Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana,
14 Ni nani ambaye Bwana ametaka shauri kwake ili kumwelimisha,
15 Hakika mataifa ni kama tone ndani ya ndoo,
16 Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni,
17 Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu,
18 Basi, utamlinganisha Mungu na nani?
19 Kwa habari ya sanamu, fundi huisubu,
20 Mtu aliye maskini sana asiyeweza kuleta sadaka kama hii
21 Je, hujui?
22 Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia,
23 Huwafanya wakuu kuwa si kitu,
24 Mara baada ya kupandwa,
25 “Utanilinganisha mimi na nani?
26 Inueni macho yenu mtazame mbinguni:
27 Kwa nini unasema, ee Yakobo,
28 Je wewe, hufahamu?
29 Huwapa nguvu waliolegea
30 Hata vijana huchoka na kulegea,
31 bali wale wamtumainio Bwana