1 Neno la Bwana likanijia kusema:
2 “Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
3 Je, wewe una hekima kuliko Danieli?
4 Kwa hekima yako na ufahamu wako,
5 Kwa werevu wako mwingi katika biashara,
6 “ ‘Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
7 mimi nitawaleta wageni dhidi yako,
8 Watakushusha chini shimoni,
9 Je, wakati huo utasema, “Mimi ni mungu,”
10 Utakufa kifo cha wasiotahiriwa
11 Neno la Bwana likanijia kusema:
12 “Mwanadamu, mfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, nawe umwambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
13 Ulikuwa ndani ya Edeni,
14 Ulitiwa mafuta kuwa kerubi mlinzi,
15 Ulikuwa mnyofu katika njia zako
16 Kutokana na biashara yako iliyoenea,
17 Moyo wako ukawa na kiburi
18 Kwa dhambi zako nyingi na biashara yako ya dhuluma,
19 Mataifa yote yaliyokujua
20 Neno la Bwana likanijia kusema:
21 “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,
22 nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
23 Nitapeleka tauni ndani yake
24 “ ‘Nyumba ya Israeli hawatakuwa tena na majirani wenye nia ya kuwadhuru wanaoumiza kama michongoma na miiba mikali. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.
25 “ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitakapoikusanya nyumba ya Israeli kutoka mataifa ambako wametawanyika, nitajionyesha kuwa mtakatifu miongoni mwao machoni pa mataifa. Ndipo watakapoishi katika nchi yao wenyewe, niliyompa mtumishi wangu Yakobo.
26 Wataishi humo kwa salama na watajenga nyumba na kupanda mashamba ya mizabibu, wataishi kwa salama nitakapowaadhibu majirani zao wote ambao waliwafanyia uovu. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana, Mungu wao.’ ”