Ezequiel 27

SWHONEN

1 Neno la Bwana likanijia kusema:

2 “Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro.

3 Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:

4 Mipaka yako ilikuwa katika moyo wa bahari,

5 Walizifanya mbao zako zote

6 Walichukua mialoni toka Bashani

7 Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako,

8 Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako;

9 Wazee wa Gebali pamoja na mafundi stadi

10 “ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putu

11 Watu wa Arvadi na wa Heleki

12 “ ‘Tarshishi walifanya biashara nawe kwa sababu ya utajiri wako mkubwa wa bidhaa, walibadilisha fedha, chuma, bati na risasi kwa mali zako.

13 “ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.

14 “ ‘Watu wa Beth-Togarma walibadilisha farasi wa mizigo, farasi wa vita na nyumbu kwa mali zako.

15 “ ‘Watu wa Dedani walifanya biashara nawe, watu wengi wa nchi za pwani walikuwa wachuuzi wako, walikulipa kwa pembe za ndovu na mpingo.

16 “ ‘Watu wa Aramu walifanya biashara nawe kwa ajili ya wingi wa kazi za mikono yako, wakibadilishana kwa almasi, vitambaa vya rangi ya zambarau, vitambaa vilivyotariziwa, kitani safi, matumbawe na akiki nyekundu.

17 “ ‘Yuda na Israeli walifanya biashara nawe, walibadilishana kwa ngano kutoka Minithi, mtama, asali, mafuta na zeri ya kuponyeshea.

18 “ ‘Dameski, kwa sababu ya wingi wa kazi za mikono yako na ukuu wa utajiri wa mali, walifanya biashara nawe wakibadilishana mvinyo kutoka Helboni na sufu kutoka Zahari.

19 “ ‘Wadani na Wayunani kutoka Uzali, walikuletea mali za biashara, nao wakabadilishana nawe chuma kilichofuliwa, mdalasini na mchaichai.

20 “ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi.

21 “ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.

22 “ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu.

23 “ ‘Harani, Kane na Edeni na wafanyabiashara wa Sheba, Ashuru na Kilmadi walifanya biashara nawe.

24 Kwenye soko lako, walifanya biashara nawe kwa mavazi mazuri, vitambaa vya buluu, nguo za kutariziwa na mazulia ya rangi mbalimbali yenye kamba zilizosokotwa na kuwekwa mafundo imara.

25 “ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo

26 Wapiga makasia wako wanakupeleka

27 Utajiri wako, bidhaa zako na mali zako,

28 Nchi za pwani zitatetemeka

29 Wote wapigao makasia

30 Watapaza sauti zao

31 Watanyoa nywele zao kwa ajili yako,

32 Watakapokuwa wanalia na kuomboleza juu yako,

33 Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini,

34 Sasa umevunjavunjwa na bahari,

35 Wote waishio katika nchi za pwani

36 Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka;

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado