Eclesiastes 1

SWHONEN

1 Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu:

2 “Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!”

3 Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote

4 Vizazi huja na vizazi hupita,

5 Jua huchomoza na jua huzama,

6 Upepo huvuma kuelekea kusini

7 Mito yote hutiririka baharini,

8 Vitu vyote vinachosha,

9 Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena,

10 Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema,

11 Hakuna kumbukumbu ya watu wa zamani,

12 Mimi, Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli katika Yerusalemu.

13 Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu!

14 Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.

15 Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa,

16 Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.”

17 Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo.

18 Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa;

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado