1 Msifuni Bwana.
2 ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana,
3 Msifuni Bwana, kwa kuwa Bwana ni mwema,
4 Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe,
5 Ninajua ya kuwa Bwana ni mkuu,
6 Bwana hufanya lolote apendalo,
7 Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia;
8 Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri,
9 Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri,
10 Aliyapiga mataifa mengi,
11 Mfalme Sihoni na Waamori,
12 akatoa nchi yao kuwa urithi,
13 Ee Bwana, jina lako ladumu milele,
14 Maana Bwana atawathibitisha watu wake,
15 Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu,
16 Zina vinywa, lakini haziwezi kusema,
17 zina masikio, lakini haziwezi kusikia,
18 Wale wanaozitengeneza watafanana nazo,
19 Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana;
20 ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana;
21 Msifuni Bwana kutoka Sayuni,