Jeremias 51

SWHONEN

1 Hili ndilo asemalo Bwana:

2 Nitawatuma wageni Babeli

3 Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake,

4 Wataanguka waliouawa katika Babeli,

5 Kwa maana Israeli na Yuda hawajaachwa

6 “Kimbieni kutoka Babeli!

7 Babeli alikuwa kikombe cha dhahabu katika mkono wa Bwana;

8 Babeli ataanguka ghafula na kuvunjika.

9 “ ‘Tungemponya Babeli,

10 “ ‘Bwana amethibitisha haki yetu;

11 “Noeni mishale,

12 Twekeni bendera juu ya kuta za Babeli!

13 Wewe uishiye kando ya maji mengi

14 Bwana Mwenye Nguvu Zote

15 “Aliiumba dunia kwa uweza wake;

16 Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma,

17 “Kila mtu ni mjinga na hana maarifa;

18 Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha,

19 Yeye Aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo,

20 “Wewe ndiwe rungu langu la vita,

21 kwa wewe navunjavunja

22 kwa wewe napondaponda

23 kwa wewe nampondaponda

24 “Mbele ya macho yako nitamlipiza Babeli na wote waishio Ukaldayo kwa ajili ya makosa yote waliyofanya katika Sayuni,” asema Bwana.

25 “Mimi niko kinyume nawe, ee mlima unaoharibu,

26 Hakuna jiwe litakalochukuliwa kutoka kwako

27 “Twekeni bendera katika nchi!

28 Andaeni mataifa kwa ajili ya vita dhidi yake,

29 Nchi inatetemeka na kugaagaa,

30 Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana,

31 Tarishi mmoja humfuata mwingine,

32 Vivuko vya mito vimekamatwa,

33 Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo:

34 “Nebukadneza mfalme wa Babeli ametula,

35 Jeuri iliyofanyiwa miili yetu na iwe juu ya Babeli,”

36 Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo:

37 Babeli utakuwa lundo la magofu

38 Watu wake wote wananguruma kama simba wadogo,

39 Lakini wakati wakiwa wameamshwa,

40 “Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni,

41 “Tazama jinsi Sheshaki atakamatwa,

42 Bahari itainuka juu ya Babeli;

43 Miji yake itakuwa ukiwa,

44 Nitamwadhibu Beli katika Babeli,

45 “Tokeni ndani yake, enyi watu wangu!

46 Msikate tamaa wala msiogope tetesi

47 Kwa kuwa hakika wakati utawadia

48 Ndipo mbingu na dunia na vyote vilivyomo ndani yake

49 “Babeli ni lazima aanguke kwa sababu ya kuwaua Waisraeli,

50 Wewe uliyepona upanga,

51 “Tumetahayari, kwa maana tumetukanwa

52 “Lakini siku zinakuja,” asema Bwana,

53 Hata kama Babeli ikifika angani

54 “Sauti ya kilio inasikika kutoka Babeli,

55 Bwana ataiangamiza Babeli,

56 Mharabu atakuja dhidi ya Babeli,

57 Nitawafanya maafisa wake na wenye busara walewe,

58 Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo:

59 Huu ndio ujumbe Yeremia aliompa afisa Seraya mwana wa Neria mwana wa Maaseya, alipokwenda Babeli pamoja na Sedekia mfalme wa Yuda, katika mwaka wa nne wa utawala wake.

60 Yeremia alikuwa ameandika ndani ya kitabu kuhusu maafa yote yatakayoipata Babeli, yaani yote yaliyokuwa yameandikwa kuhusu Babeli.

61 Yeremia akamwambia Seraya, “Utakapofika Babeli, hakikisha kwamba umesoma maneno haya yote kwa sauti kubwa.

62 Kisha sema, ‘Ee Bwana, umesema utaangamiza mahali hapa ili mtu wala mnyama asiishi ndani yake, napo patakuwa ukiwa milele.’

63 Utakapomaliza kusoma hiki kitabu, kifungie jiwe kisha ukitupe ndani ya Mto Frati.

64 Kisha sema, ‘Hivi ndivyo Babeli utakavyozama na usiinuke tena, kwa sababu ya maafa nitakayoleta juu yake. Nao watu wake wataanguka.’ ”

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado