Isaías 5

SWHONEN

1 Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye,

2 Alililima na kuondoa mawe

3 “Basi enyi wakazi wa Yerusalemu na watu wa Yuda,

4 Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa shamba langu la mizabibu

5 Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea

6 Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu,

7 Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote

8 Ole wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba

9 Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema nikisikia:

10 Shamba la mizabibu la eka kumi

11 Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema

12 Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao,

13 Kwa hiyo watu wangu watakwenda uhamishoni

14 Kwa hiyo kaburi limeongeza hamu yake

15 Hivyo mwanadamu atashushwa,

16 Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa

17 Kondoo watajilisha kwenye malisho yao wenyewe,

18 Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu

19 kwa wale wanaosema, “Mungu na afanye haraka,

20 Ole wao wanaoita ubaya ni wema,

21 Ole wao walio na hekima machoni pao wenyewe,

22 Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo,

23 wale wanaoachilia wenye hatia kwa kupokea hongo,

24 Kwa hiyo, kama ndimi za moto zirambavyo nyasi,

25 Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake,

26 Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali,

27 Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa,

28 Mishale yao ni mikali,

29 Ngurumo yao ni kama ile ya simba,

30 Katika siku ile watanguruma juu yake

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado