Êxodo 15

SWHONEN

1 Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu:

2 Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu;

3 Bwana ni shujaa wa vita;

4 Magari ya vita ya Farao na jeshi lake

5 Maji yenye kina yamewafunika,

6 “Mkono wako wa kuume, Ee Bwana

7 Katika ukuu wa utukufu wako,

8 Kwa pumzi ya pua zako

9 “Adui alijivuna,

10 Lakini ulipuliza kwa pumzi yako,

11 “Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana?

12 Uliunyoosha mkono wako wa kuume

13 “Katika upendo wako usiokoma utawaongoza

14 Mataifa watasikia na kutetemeka,

15 Wakuu wa Edomu wataogopa,

16 vitisho na hofu vitawaangukia.

17 Utawaingiza na kuwapandikiza

18 Bwana atatawala

19 Farasi wa Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake walipoingia baharini, Bwana aliyarudisha maji ya bahari yakawafunika, lakini wana wa Israeli walipita baharini mahali pakavu.

20 Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.

21 Miriamu akawaimbia:

22 Kisha Mose akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji.

23 Walipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara)

24 Kwa hiyo watu wakamnungʼunikia Mose, wakisema, “Tunywe nini?”

25 Ndipo Mose akamlilia Bwana, naye Bwana akamwonyesha kipande cha mti. Akakitupa ndani ya maji, nayo maji yakawa matamu.

26 Mungu akasema, “Kama mkisikiliza kwa bidii sauti ya Bwana Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa machoni pake, kama mkiyatii maagizo yake na kuzishika amri zake zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, niwaponyaye.”

27 Kisha wakafika Elimu, mahali palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na miti sabini ya mitende, wakapiga kambi huko karibu na maji.

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado